Ila kusema kweli huyu Amunike amekuja kwa style ya ajabu kwelu yani..
Tukiachilia ushabiki kando jamaa anazingua sana kuhusu baadhi ya wachezaji.
Yani Ajib, Mkude midfield Maestro namba moja TZ unamweka nje, Kichuya mtoto anateleza kama kambale unamwacha nje.
Mechi anachezesha mabeki wakati 3 na FB wapo. Kama vile tumeenda kuzuia hatuna matumaini ya kushinda kabisa.
Beki yenyewe Mwantika na Morris wachovu mbaya. Wakati angeweza kucheza na Yondani na Banda ambao wana shughuli ya kueleweka.
Hajui kuwa mechi inashindiwa katikati ya uwanja? Ukiweza kukamata kiungo ndio umemaliza game. Angalia tulivyoweweseka juzi eneo la kiungo. Hatukuwa na uwezo wa kucheza second balls kabisa kila mpira iwe tuliokoa sisi au wao ulikua unaishia kwa cape verde mids.
Amempanga Mao na Mudhathir ambae hana uzowefo wowote hata kutuliza mipira ikawa kazi. Kocha atie akili.
Huyu kocha sumu za kiyanga alizolishwa zitamtumbua siku za usoni na wataomtumbua ndio hao hao waliomlisha sumu.
Haijui Tanzania huyo mwache atapata akili siku sio nyingi..
Bora kocha mzawa tu hawa wageni waduanzi