Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Wale tunaoshangilia Cape Verde, huu ni uzi wetu

Mara ngapi mashabiki wameungana ila bado timu inaboronga?

Uzalendo upo ila haulazimishwi.
Kwenye vilabu vyenu mme ungana mara ngapu lakin matokeo bado mabovu? Mtu una shabikia Liverpool na arsenal na una vumilia lakin eti taifa lako una shindwa kuvumilia na kuli support
 
Kwenye vilabu vyenu mme ungana mara ngapu lakin matokeo bado mabovu? Mtu una shabikia Liverpool na arsenal na una vumilia lakin eti taifa lako una shindwa kuvumilia na kuli support
Club yangu naipa heshima sana maana inajua inachokifanya sio hii timu isiyokuwa na shukrani kwa mashabiki.

Hatuwezi kuwa wamoja kwenye timu mbovu namna hii. Kama ni uzalendo endelea nao tu wewe.
 
Sisi kama Cape Verde au Tubaroes Azuis (Blue Sharks) au Crioulos (Creoles), tutashusha kipigo kikubwa kwa Taifa Stars leo jioni majira ya saa 11 , pale kwa mchina mashabiki wenzangu naomba tujae uwanjani kwa wingi kuisupport team yetu.
 
Club yangu naipa heshima sana maana inajua inachokifanya sio hii timu isiyokuwa na shukrani kwa mashabiki.

Hatuwezi kuwa wamoja kwenye timu mbovu namna hii. Kama ni uzalendo endelea nao tu wewe.
Liverpool arsenal na sasa man u... zinakifanya nn? Tofauti na stars?
 
Leo tena mbongo anakufa 3 mzuka pale kwa MCHINA safii kabisa mambo yapo taiti kwenye uchumi mfukoni bado tena nijiongezee maumivu kushabikia timu bovu .mm mwenywe nna moyo .MSINGANGANE KWENYE MAUMIVU ,VIVA CAPE VERDE
 
Achana nae huyo anaogopa kipigo kingine tunachopanga kumpa leo hapo kwake.
Huyu jamaa anafananisha club. Za ulaya na hii takataka zile clubs.ni major projects za watu na investment za maana na ndio maana zinafanya vizuri
 
Hao wacheza wa Mbumbumbu FC si wapo kila siku na hamana matokeo.
 
Hao wacheza wa Mbumbumbu FC si wapo kila siku na hamana matokeo.
Mkuu.. Kwa mara ya kwanza, Cape Verde imetuunganisha mashabiki wa soka nchini. Mashabiki wa Simba tumo, Yanga wamo na hata mashabiki wa timu ya Alex Kitenge, Stand United wamo.. lengo letu kuu ni 1 tu.. Kuunga juhudi wanazozifanya timu ya Cape Verde.
 
Ikumbukwe tunafuzu huku tukiwa na mechi 2 mkononi.. Dhidi ya Lesotho ambayo lazima tuwafunge.. Na 'wenzetu' Uganda ambao hawa tutadroo nao.
kwa hesabu za kwenye karatasi tu mnaziweza ,zile za mala tukimfunga huyu hapa tukaenda kwao tukatoa sale,harafu uganda akimfunga lesotho,nasi tukamfunga uganda cameroon ilee!!!mpira ni matokeo uwanjani na sio hesabu za probabity tu kila siku!!!
 
God plan for Mo nataman atakaye funga goli
Atuonyeshe t-shirts yandan
Imeandikwa ivo
 
Back
Top Bottom