Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
ππππππ Mtaniii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππππ Mtaniii
Hawajaja kukumwagia wale mashabiki wa baada ya mechi Mtani. Maana kuna sehemu wamepovuka haooo.Nimewahi Siti.
Jamaa unafaa kuwa Mtabiri. Maana ulichokitabiri ndicho kilichotokea, ungebeti leo unakula posho tu.Nyie wa Cape verde feki ndio mnaostahiki kutekwa. Mimi naitakia ushindi Taifa stars. (Msuva 1, Samata 1. Full time 2:0)
Hahaha.. Hawakuja Mtani.Hawajaja kukumwagia wale mashabiki wa baada ya mechi Mtani. Maana kuna sehemu wamepovuka haooo.
Basi wamekuhofia Mtani. ππππHahaha.. Hawakuja Mtani.
Sisi kama Cape Verde au Tubaroes Azuis (Blue Sharks) au Crioulos (Creoles), tutashusha kipigo kikubwa kwa Taifa Stars leo jioni majira ya saa 11 , pale kwa mchina mashabiki wenzangu naomba tujae uwanjani kwa wingi kuisupport team yetu.
Hizi ndo sababu zilizonifanya, mpaka sasa nishatinga uzi wangu wa Cape Verde.. Navuta mda hapa nielekee Taifa Stadium.
Kushabikia Timu ya taifa kwa sasa ni kujitakia matatizo ya Moyo na kuunguruma kwa tumbo. Timu haina mipango yoyote kwenye mashindano yoyote yale.
Cape Verde Goooo acha kwanza sisi tufanye siasa hata katika michezo.
Woyooooo team cape Verde hioiooooooo ni mwendo wa kuua nyani bila kumtizama usoni kama huna hela zama hapa chap chukua odds 2+ za cape Verde bureeeeeeeView attachment 899737
Star wakunjwe 2 zinatosha
Me mzaliwa wa pale kisiwani Praia shangazi yangu na ndugu zangu wengine wapo kule sema mimi nipo kimapumziko tanzania nasubiria game badae nikashangilie team yangu
Mkuu muda bado.. Mechi inaanza saa 11.. Mda huu nipo Kariakoo natafuta jezi ya Cape Verde.
Mungu saidia Stars tufungwe 3-0 leo maana hakuna kiongozi hata mmoja kuanzia kwenye Vilabu hadi TFF mwenye nia njema ya soka letu.
Mashabiki wenzangu wa Cape Verde..
Je mwajua kua, baada ya ushindi wetu wa leo hapo Taifa Stadium mida ya jioni, tunakata tiketi ya moja kwa moja kwenda kushiriki AFCON, mwakani nchini Kameruni??
Katika kundi letu tutaondoka na Uganda.. Huku Lesotho na hawa tunaowafunga leo wakibaki makwao.
Huyo Kocha alinikera kuhusu wachezaji wa Simba!!
Wafungwe tu!!
Tupooooooooo...... leo Taifa Starz wanachezea 8
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mkuu usisahau kuja hapa ddc tupige selfie namm nime shawishika kuvaa uzi wa watu wa kisiwa cha ureno
[emoji15][emoji15][emoji144][emoji144][emoji23]kila jambo huwa na asili yake... Halitokei tu hivihiviAiseeee kazi ipo