Wale tunaotumia JamiiForums App na wale mnaotumia Website ya JamiiForums tujuane hapa

Melki Wamatukio

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2022
Posts
6,156
Reaction score
10,974
Baada ya kujuana, tuelezane ni kwa nini which is which. i.e kwanini umependelea kutumia App ama website

Kama ni App utujuze ni old version au Latest version

Binafsi natumia Old Version ya JamiiForums App kwa kuwa haina mambo mengi, haina umbambamba, ina-save time, not complicated.
 
Kutumia app Kuna changamoto nyingi mfano mimi sioni signature za watu nikitumia app ila nikitumia browser upended wa pc naona
 
Baada ya kujuana, tuelezane ni kwa nini which is which. i.e kwanini umependelea kutumia App ama website

Kama ni App utujuze ni old version au Latest version.....
Sipendi kujaza simu yangu apps nyingi.

Unakuta mtu una apps za bank au mtandao wa simu.....utakuwa nazo ngapi na tuna mitandao atleast 2?
Uwe app ya NSSF how many times unaitumia per month?

Mimi mtandao wowote wenye web natumia web.....facebook, jf. Nikiwa kazini hata whatsap ni web kwa pc
Sina insta, tiktok.

Tunaishi.
 
Tatzo la web ni kwamba every time u want to enter certain site mfano, jf ni lazma uanze kui search tena pale kwny search bar ya browser

Afu kuna baadh ya site mfano web version ya fb ina UI mbaya, haina mvuto,,, ukiscroll down inafika sehem u cant scroll anymore

Nachopendea web ni kwamba ni rahisi ku-bookmark various topics, ktu ambacho huwez kifanya kwny app
 
Baada ya kujuana, tuelezane ni kwa nini which is which. i.e kwanini umependelea kutumia App ama website

Kama ni App utujuze ni old version au Latest version

Binafsi natumia Old Version ya JamiiForums App kwa kuwa haina mambo mengi, haina umbambamba, ina-save time, not complicated.

Sent from my Galaxy Z Flip 4
Web app ni uhakika
 
Baada ya kujuana, tuelezane ni kwa nini which is which. i.e kwanini umependelea kutumia App ama website

Kama ni App utujuze ni old version au Latest version

Binafsi natumia Old Version ya JamiiForums App kwa kuwa haina mambo mengi, haina umbambamba, ina-save time, not complicated.
Eti hii nayo thread.
 
Back
Top Bottom