Melki Wamatukio
JF-Expert Member
- May 3, 2022
- 6,156
- 10,974
mfano unaweza kuisoma signature yangu ndugu..kwa sauti lakiniKutumia app Kuna changamoto nyingi mfano mimi sioni signature za watu nikitumia app ila nikitumia browser upended wa pc naona
Mkuu, kwani signature zina umuhimu upi?Kutumia app Kuna changamoto nyingi mfano mimi sioni signature za watu nikitumia app ila nikitumia browser upended wa pc naona
Sipendi kujaza simu yangu apps nyingi.Baada ya kujuana, tuelezane ni kwa nini which is which. i.e kwanini umependelea kutumia App ama website
Kama ni App utujuze ni old version au Latest version.....
Tatzo la web ni kwamba every time u want to enter certain site mfano, jf ni lazma uanze kui search tena pale kwny search bar ya browserSipendi kujaza simu yangu apps nyingi.
Unakuta mtu una apps za bank au mtandao wa simu.....utakuwa nazo ngapi na tuna mitandao atleast 2?
Uwe app ya NSSF how many times unaitumia per month?
Mimi mtandao wowote wenye web natumia web.....facebook, jf. Nikiwa kazini hata whatsap ni web kwa pc
Sina insta, tiktok.
Tunaishi.
Web app ni uhakikaBaada ya kujuana, tuelezane ni kwa nini which is which. i.e kwanini umependelea kutumia App ama website
Kama ni App utujuze ni old version au Latest version
Binafsi natumia Old Version ya JamiiForums App kwa kuwa haina mambo mengi, haina umbambamba, ina-save time, not complicated.
Sent from my Galaxy Z Flip 4
Hata siionimfano unaweza kuisoma signature yangu ndugu..kwa sauti lakini
Eti hii nayo thread.Baada ya kujuana, tuelezane ni kwa nini which is which. i.e kwanini umependelea kutumia App ama website
Kama ni App utujuze ni old version au Latest version
Binafsi natumia Old Version ya JamiiForums App kwa kuwa haina mambo mengi, haina umbambamba, ina-save time, not complicated.