[emoji3578]Iwe CCM iwe CHADEMA sawa tuu.
[emoji3578]Uwe mnene uwe mwembamba sawa tuu, sie twala
[emoji3578]Awe JPM awe ENL poa tuu.
[emoji3578]Uwe na chura uwe hauna sawa tuu, sisi twala.
[emoji3578]Niwe sina nisiwe nazo sawa tuu, sina stress.
[emoji3578]Iwe nyama iwe dagaa sawa tuu, tunashiba.
[emoji3578]Uwe Mkristu uwe Muislamu sawa tuu, Mungu wetu mmoja.
[emoji3578]Unipende au usinipende poa tuu, sina tatizo na ww.
Hakuna maisha mazuri kama haya, kama una moyo wa hivi utaishi maisha mazuri san, stress free life.
View attachment 949140