mnoel JF-Expert Member Joined Aug 14, 2012 Posts 211 Reaction score 98 Aug 29, 2012 #1 members hebu nipeni future ya hiyo coz maana naenda kuisoma then cjui baada ya kusoma ndo ntafanya ki2 gni?
members hebu nipeni future ya hiyo coz maana naenda kuisoma then cjui baada ya kusoma ndo ntafanya ki2 gni?
Ruge Opinion JF-Expert Member Joined Mar 22, 2006 Posts 1,838 Reaction score 705 Aug 30, 2012 #2 Ni elimu ya viumbe na mazingira ya majini, yaani kwenye mito, maziwa na baharini. Hivi siku hizimtu unalazimishwa kusoma fani ambayo huijui wala huna interest nayo? Kama ni hivyo tumekwisha kama taifa.
Ni elimu ya viumbe na mazingira ya majini, yaani kwenye mito, maziwa na baharini. Hivi siku hizimtu unalazimishwa kusoma fani ambayo huijui wala huna interest nayo? Kama ni hivyo tumekwisha kama taifa.
K karatta Senior Member Joined Apr 2, 2012 Posts 109 Reaction score 46 Aug 30, 2012 #3 nenda kasome tu future anajua Mungu
paul kitereja JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 260 Reaction score 45 Aug 30, 2012 #4 Hiyo kozi ukimaliza future yake utakuwa ni mvuvi!!!