Wale wa B.A ECONOMICS UDSM

Mstaarabu wa ukwee

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2013
Posts
209
Reaction score
137
Mapindi leo yamebebana afu ni final draft,tuna CL 2-3,EC 126 saa 3-4 then at the same time ST 112 2-4,inakuwaje wadau?
 
Ebu acha kudhalilisha chuo chetu,ina maana umeleta humu jukwaani ndio ili iweje?
 
We -------- sasa ndio iweje?........
 
Kama huyu ndio type ya wanachuo udsm, basi kuna tatizo somewhere.
 
Ckudhania kwa uzi kama huu kuendelea kuwepo hapa, time table ya chuo inawekwa jf? Cjui!
 
Wana-UDSM bana...

mbona wapinzani wenu udom wanapiga buku kimya kimya?
 
Wana-UDSM bana...

mbona wapinzani wenu udom wanapiga buku kimya kimya?

wapinzani wa udsm ni makerere,nairobi na vyuo kama cape town na cairo,ila udom ni level ya saut na mzumbe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…