Wale wa B.A ECONOMICS UDSM

kilaza utamjua tu....halfu EC 135 (dating) itakuwa 4:30 - 5:00 pale BLOC GGGGggggg
 
UDSM..imeanza kuchukua viraza sn.siku hizi...
tatizo mwaka huu wamechukua vilaza tu maana hata ufaulu haukuwa mzuri ingeneral basi ndio wanajiona ndio wenyewe kumbe kibahati tu da.kazi kweli
 
hiki nini? ulimbukeni au? kila mtu kasoma lkn level tafauti plz tuangalie vitu vya kupost
 
Alumni wa udsm wa miaka ya nyuma kidogo na alumni berkeley university.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…