Wale wa bandarini

Wale wa bandarini

tg4

New Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
3
Reaction score
0
jamani naomba msaada wenu kwa wale ambao mmewahi kufanya au mnaofanya kazi bandarini, mi nimechaguliwa NIT course ya PROCUREMENT AND LOGISTICS, vp course hii naweza kuajiriwa bandarini? au kupiga field hapo?
 
Dah.. yaani unasomea kwenda kufanya kazi mahali flani..!? ngoja na mie nikasomee kuajiriwa Ikulu..
 
jamani naomba msaada wenu kwa wale ambao mmewahi kufanya au mnaofanya kazi bandarini, mi nimechaguliwa NIT course ya PROCUREMENT AND LOGISTICS, vp course hii naweza kuajiriwa bandarini? au kupiga field hapo?

Hebu tupe utamu wa huko bandarini?
 
Back
Top Bottom