jamani naomba msaada wenu kwa wale ambao mmewahi kufanya au mnaofanya kazi bandarini, mi nimechaguliwa NIT course ya PROCUREMENT AND LOGISTICS, vp course hii naweza kuajiriwa bandarini? au kupiga field hapo?