WALE WA Bcom IN A/C UDSM 2u.. WAVULANA!

RAMSIR

Member
Joined
Aug 5, 2013
Posts
10
Reaction score
0
habali zenu.. nauliza kaa kuna m2 m1 anapenda kukaa gheto nami naomba 2juane ili 2jue 2fenyeje coz nxhafuatlia, mie Kdume nmechaguliwa iyo course hapo UDSM ila naitaj kaa gheto,, mie najua dini vzur ingaw iman ksoda co pipa xoo cko deep kuifuatlia ciendekez gheto kw bughudh kwko, uhuni naujua tena xaaana 2u, v2 kaa"bangi,pombe$ktmoto"cjawah na cntoja jarbu,, xoo waeza jua kua nkoje na twendana ktabia 2kionana 2taxomana vzur zaid,, nina cut 7 xoo ctak kukaa na T.O napenda hata umenizd o nmekuzd walau 2u 2karbiane kiuwezo citaj kukaa na m2 mwnye cut 11,12,13,14 huko hapana.. mi nmeixh$ninaish ubungo kw iyo co mgeni wa dar ii na nimexoma St.Matthew,, iyo xehemu twaeza kaa n karbu na maeneo ya chuo n pakutembea 2u ha2tapanda gari! 2cxubri mpak 2fungue chuo kwni rum ni"first in first served" 2tambwela..
 
hoya uandishi wako una utataaa! Jipangeee hii sio twitter,facebook,bbm...., this is the home of great thinker! Rudi kajifunze kuandikaaa
 

duh kwa uandishi huu ,chuo kikuu kimeingiliwa?
 
hoya uandishi wako una utataaa! Jipangeee hii sio twitter,facebook,bbm...., this is the home of great thinker! Rudi kajifunze kuandikaaa

true indeed...utoto mwingi.
 
 
getoo ka peke yako we wa wapiii umaleta mambo ya u andvance chuo etiiii sitaki kukaa na mtu wa cut point11,12,13 nakwambiaje hata uwe na cut point 15 kubabake chuo its just the same na mwenye 5 wanadisco mapema hao uliza uambiwe getooo ka peke ako jomba fist year wote tunapewa hostel kama unatafuta kubebwa aka mtungo funguka tuuu
 
Aliyemuelewa huyu mtoto anisaidie kunielewesha na mie.
 
kwa lugha hii ya kibongo ni wachache tutapata vizazi vyenye maadili.
 


mjomba mbona unakiaibisha chuo hicho, kwa hicho ulichoandika, unajua inaboa sana unaposoma huo ujumbe wako, hebu niambia maana ya maneno yafuatayo

XOO
nxhafuatlia
xoo
xaaana
2taxomana
cut 7
2cxubri

Afu nahisi ulipokuwa unaandika ujumbe huu mkono wako wa kushoto ulikuwa umeshika suruali yako mkono chini ya zipu huku ukinyanyua nyanya juu
 
ila kkubwa mumeelewa, ngoja nixubri wenye shida..
 
dogo naomba ukipangiwa mabibo hosteli naomba niuzie hiyo chance b'se mabibo nakukubali sana,ni2mie contacts zako
 
Kwa uandishi huo watu kama wewe utailaumu NBAA na CPA utaisikia kwenye hewa
 

makarai na supp zitakuwa ndio zako
 
dah! mi nlikiwa na mchiz wangu ila 2hysjjh jktio@ 334hgd nj !! 00978 bbnfhkjjsa oleokoti dhhjhewk c ikrekjjth qwdswereytyuusmn snjjg 1asww3 5456 rtiitgjmoi78 rjjf gh ....ndo hivo mkuu
 
Tushajua unachokitafuta, weka namba namba yako tukutwangie!
 
dogo unamoto na chuo...ok tumeshajua umechaguliwa bcom actng..what else?
 
kila aliofika chuo ujue anajua kwa sababu kapitia changamoto nyingi sana mpaka hapa,, na tukisema iyo sms tuandike kwa maneno full basi tutajaza page nzima mkose sehemu za ku-comment,, ukiona kitu hakikuhusu basi achana nacho sio mnaponda tu halafu unajiita great thinker,, great thinker gani unapotosha jamii? muda mwingine watu wanaboa mpaka shida inakatika,, mabibo hoctel napajua kilakitu kwani rafiki angu alikaa pale kwa mazingira ya kusomea na changamoto za pale nazijua zilivyo, na kwa sehemu nayosemea mie kama mtu eyote angeliona sizani angelikataa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…