kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Haya haya amkeni kuna goli la utata huku linawekwa kambani na yule yule.
Kusema kweli TFF inatuonea sana kwa nini inakubali magoli kama haya?Sie tumekosa nini jamani!??Kwa nini mwamuzi hajatoa kadi kwa lile goli?Waamuzi wawe fair jamani sasa timu yetu sijui hawataki tupate ubingwa?!!Ina maana wao hawaumii na hii hali?