Kulikuwaga na ushindani mkubwa sana wa mpira wa miguu kwa shule za sekondari. Nakumbuka timu ya Jamhuri ilikuwaga ndiyo best, ikichukua ubingwa kutoka shule ya sekondari ya Mazengo uwanjani kwao. Hivi wale vijana wa shule enzi hizo pamoja na wale wa shule za Central na Dom Sec waliishiaga wapi?