Wale wa Dstv usipitwe na makala tamu za Kombe la Dunia

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2017
Posts
23,620
Reaction score
52,790
Wadau wa Dstv, kuna makala tamu sana za kombe la Dunia kwanzia miaka ya nyuma ambazo zimeanza jana, mechi za kuvutia na za aina yake zilizowahi kupigwa katika kombe la dunia. Kupitia Chaneli maalum ya Kombe la Dunia ya SS14 chaneli namba 214 kwa kifurushi cha bomba tu.
Kama wewe mtu wa soka usipitwe na uhondo huu kuelekea Russia hapo June mwaka huu.
 
Inakua saa ngapi saa hiyo?
 
Back
Top Bottom