Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
19000Bomba ni sh ngap
Inakua saa ngapi saa hiyo?Wadau wa Dstv, kuna makala tamu sana za kombe la Dunia kwanzia miaka ya nyuma ambazo zimeanza jana, mechi za kuvutia na za aina yake zilizowahi kupigwa katika kombe la dunia. Kupitia Chaneli maalum ya Kombe la Dunia ya SS14 chaneli namba 214 kwa kifurushi cha bomba tu.
Kama wewe mtu wa soka usipitwe na uhondo huu kuelekea Russia hapo June mwaka huu.
19000Bomba ni sh ngap
Kwa 19000 tu unapata world cup?19000
Ndio mkuu lipiaKwa 19000 tu unapata world cup?
saa 3 usikuInakua saa ngapi saa hiyo?
Thankssaa 3 usiku