Naona kodi mtakuwa mnalipa kwa kutumia vyeti pamoja na report cards au sio?!....kwanza speaking of kodi, kuna michongo gani short term ambazo zinaweza kuboost balance ya mpunga kidogo? Mkataba wangu sio poa, january wenzangu wanapambana sasa zamu yangu imefika...ewaaa!