Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Ha haaa siku hizi vijana wana sema, ninaham na kapilau, au leo ntakula kapilau, ngoja tukacheze mahewa mahewa. Au ubungo posta, ubungo posta daladala ikichanganya, imba mwenyewe haraka haraka ubungo posta then upunguze haraka utapata jibu.
Dah kweli wenzetu wameendelea nasi bado tulikuwa nyuma sana kwani sisi tulijikita sana juu ya usafi wa kiwanja badala ya mechi yenyewe.................
Kishtobe...ilikuwa ni meli kubwa sana ya kijapan iliyotia nanga bandarini DSM miaka ya 1975, matokeo yake neno KISHTOBE likachakachuliwa na kumaanisha MPENZI/DEMU/MSHIKAJI.
.............Hahaha umenichekesha ndugu yangu.......wa siku hizi ni kama bahati nasibu, ukiipata ipe jibu .....so hata mawazo ya hali ya uwanja hayazingatiwi kabisa. Tofauti na enzi zetu yaani unakaa mwezi mzima unajiandaa maana ushajua siku flani mechi inachezwa....... hata kifuniko unanunua kipyaaaa, uwanja unafyeka, na kwa wale ambao walishawahi kuonja.na mazoezi wanaanza kabisa kujinoa kwa mechi. Asa siku hizi ah ni kama bahati nasibu akialikwa kwenye mechi ni siku hiyo hizyo popote atakapokuwa mechi inachezwa so shauri yako ukute majani hayajafyakwa shauri yako hiyo itakuwa aftermath tena.
:rip::rip::rip:
:smile-big::smile-big::smile-big: umenimaliza ............................... nilidahani msemo wa sasa ni mbunye inalika ................ mshariba unaosheka, kuvutwa maji, osha rungu, ........... tupa ngwese .......... lakini hii ya kugonga ngozi imenimaliza ....... :laugh:.com mkikutana tu ni, oya! ngozi inagongeka leo?
...Salama au macho yangu?
...Tutakula ama fitna?
...Ndege itatua ama kiwanja kina matope?
hahahah tuliosoma shule za kufugwa kama mbuzi mnatuacha njia panda wajameni na hii misemo