1. Chelsea
2. Man City
3. Liverpool
4. Man Utd
Kwa kawaida huu msimu unaokuja watu wengi wataibeza Chelsea kutokana namna mambo yalivyokuwa msimu uliopita. Lakini pia unaweza kuwa msimu mzuri kwa coach Pochettino kwa sababu ana uzoefu na EPL. Sababu nyingine pia msimu ujao Chelsea hatakua na mechi za UCL au Europa kwa hiyo focus yake inaweza baki kwenye EPL pekee na ndio kitu kiliwaondoa Arsenal kwenye mbio za ubingwa mwaka jana walishindwa ku prioritize washike lipi. Chelsea akishindwa kubeba basi anashika nafasi ya pili. Maoni yangu