Wale wa EPL tabiri top 4 mapema ukianza na bingwa

Chelsea ni timu inayoenda kushuka daraja mzee [emoji23],mbona unajifariji pumba .....au mnashabikia majina mpira hamuaangalii[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chelsea ni timu inayoenda kushuka daraja mzee [emoji23],mbona unajifariji pumba .....au mnashabikia majina mpira hamuaangalii[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi wewe kwa akili zako za mpira unadhani Chelsea inaweza shuka daraja.? Unaujua mpira au unahadithiwa mpira wewe? Tukisema nyinyi hamjui mnaanza kutukana.
 
Man city
Newcastle
Liverpool
Chelsea
Man U
Arsenal
Brentford
 
Arsenal the Gunners
Manchester city the citizens
Liverpool vijogoo
Newcastle United
Manchester United
Aston villa

 
Huu utakuwa msimu wa surprise package hivyo.
1.Newcastle
2.Chelsea
3.Liverpool
4.Man city
5.Man united
6.Totenham
 
Msimu unaokuja kwangu naona utatoa mabingwa wa wawili usinichoshe kuniumiza.

Maana utakuwa msimu mgumu kuwai kushuhudiwa toka EPL ianzishwe.
Mkuu wakati tunazitazama timu zetu pendwa,kuna hawa watu
Newcastle
Aston villa
Brighton
westham

Hizo timu nna mashaka 2 zitaingia top 4
 
1- Man U
2- Arsenal
3- Man City
4- Newcastle united

N.B Liverpool watakuwa wa 6/7!
Chelsea watakuwa wa 14/15
1. Man City - Nawapa ubingwa japo safari haitokuwa rahisi kutokana na uchovu wa treble.

2. Arsenal - Declan Rice ataongeza kitu na kuipa nguvu Arsenal.

3. Liverpool - Salah ataenda Afcon January itawagharimu.

4. Newcastle Utd - Wasipopata majeraha wataingia top 4.

NB: Spurs watatimua kocha kabla ya mwezi February.
 

Chelsea akijitahidi basi namba 8 hukooo timu ni mpya wachezaji hawana chemistry it takes time sana karibia nusu msimu.

Arsenal anachukua [emoji471][emoji471]msimu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…