Wale wa EPL tabiri top 4 mapema ukianza na bingwa

Chelsea ni timu inayoenda kushuka daraja mzee [emoji23],mbona unajifariji pumba .....au mnashabikia majina mpira hamuaangalii[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Msimu huu CIty anakwenda kugaragara,. tatizo ni kuwa hakuna timu ya uhakika ya ushindani kwa uhakika kabisa bila ya MAhrez na Gundogan timu lazima ita drop sana.
 
nachojua mimi New castle atamaliza juu ya manUnited na chelsea. liverpool na city ndio watakao pambana kunyanyua kwapa. Arsena na new castle ndio watakao kaa top four.
1. liverpool/city
2. city/liverpool
3. new castle
4. Arsenal.
 
EPL inapoanzaga City wanakua slow, sasa timu ikiweza kuweka gape la point hata 12 kabla ya mzunguko wa pili inaweza kubeba.

Utabiri wangu, ligi ya England inapoanza bingwa hua ni man city untill it proved otherwise
1. CITY
2. ARSENAL
3.LIVERPOOL
4. MAN UNITED
 
Chelsea akijitahidi basi namba 8 hukooo timu ni mpya wachezaji hawana chemistry it takes time sana karibia nusu msimu.

Arsenal anachukua [emoji471][emoji471]msimu huu
🤣🤣🤣 yan bora ungenitajia timu nyingine sio Arsenal. Hizo kurubembe za London tunazijua hamna kitu humo subiri mwisho wa msimu tutarudi hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…