Natumai wengi tutakua tushaanza kujua mambo mbalimbali ya vyuo vyetu... tupaene habari kwa chochote ulichokikuta au mambo yalivyo kwa ujumla..... Mimi nipo ardhi ni full assignments...yaani no bata jamani.. na boom ndo limekawia ni shida tupu...
Soma uelewe, uwe bora na ufaulu kwa viwango vya juu uhimili ushindani mtaani hakufai huku, acha utoto unawaza bata wakati umepata nafasi adimu kabisa, wenzio kama wewe wamekosa mikopo.