system hacker
JF-Expert Member
- Mar 13, 2022
- 426
- 709
Kati ya kitu wasomi wetu hawajui ni kuji position. Ww ni mfano hai.Ni hivi, tuambie ni darasa la ngapi unasoma na tutakusaidia kujua ni vitabu gani au website gani unaweza kujifunza ili uweze kujibu haya maswali!!
Au wewe unategemea tukwambie jibu ni A, C, D..... , Hapana hio haiweekani, tutakuwa hatukusaiidi
"Mwenye Njaa akiomba samaki, mpe ndoano akavue mwenyewe ili asiombe tena"...