mashikolomageni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2010
- 1,570
- 188
Nashangaa hukupata response mwaka mzima, tupo na ndio sisi. BBB was a good man. Spirit ya Ihungo iko juu, i wish my sons emulate it. Mastery for Service was and is still our motto!Salaam jamani wale tulipitia Pale St. Thomas Miaka ya 80 na 90 mko wapi makumbuka Mabig, Njoge, Calico, walimu walikuwepo akina Seko, Ishemoi, Mushema, Kebi, Marehemu Agai, Temalirwa aka za kifua chonya na wengineo. wanafunzi Bukwimba, Kagito, maitalya, mutungi, komwihangiro, Fredy Puff, joe Felix, Seetbert Rwezaula, Makubo, Mtambi wa kuchongwa, Musobi, na headmaster wetu BB. Bakula
Salaam jamani wale tulipitia Pale St. Thomas Miaka ya 80 na 90 mko wapi makumbuka Mabig, Njoge, Calico, walimu walikuwepo akina Seko, Ishemoi, Mushema, Kebi, Marehemu Agai, Temalirwa aka za kifua chonya na wengineo. wanafunzi Bukwimba, Kagito, maitalya, mutungi, komwihangiro, Fredy Puff, joe Felix, Seetbert Rwezaula, Makubo, Mtambi wa kuchongwa, Musobi, na headmaster wetu BB. Bakula