Wale wa 'Isidingo'

Wale wa 'Isidingo'

Vodka

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2012
Posts
906
Reaction score
96
Haya kwa wale wapenzi wa tamthilia hasa ISIDINGO, hebu naomba mnisaidieni haya;
=>maana ya ISIDINGO

=>na imefikia wapi hii tamthilia na itaisha lini,kwani kila kukicha ipo hadi waigizaji wanazeeka na kufa ila yenyewe aiishi.
 
Tumia google utapata majibu yote unayotaka
 
imefika wapi kwa channel ipi?
Maana ya isidingo ni maisha ya kila siku katika miji iliyo na migodi.
Sijui na merereni pako vile au kakola?

Sasa unataka maisha ya kila siku yaishe?
 
imefika wapi kwa channel ipi?
Maana ya isidingo ni maisha ya kila siku katika miji iliyo na migodi.
Sijui na merereni pako vile au kakola?

Sasa unataka maisha ya kila siku yaishe?

uheshimiwe pancrease!
 
Kumbe sasa kwenye ITV inaboa sasa,kwanini wasituletee isidingo ya merelani labda itakuwa na mvuto.
imefika wapi kwa channel ipi?
Maana ya isidingo ni maisha ya kila siku katika miji iliyo na migodi.
Sijui na merereni pako vile au kakola?
Sasa unataka maisha ya kila siku yaishe?
 
Write your reply...walitangaza kwenye page yao wapo kwenye production ya episodes zao za mwisho
 
ISIDINGO imeshafika mwisho, ila kwa ITV itaisha miezi ya mbeleni mwaka huu kwa saabu wapo nyuma kidogo... Kwa tuliokuwa tume-subscribe kwa channel yao kule YouTube tumesha-unsubscribe😔😔😔😔Tutaimiss HORIZON DEEP.
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Back
Top Bottom