Tujikumbushe jamani tulipotoka enzi za masawe! na hata kwa wale wadogo zetu mnaweza kutuambia yaliyoendelea kujiri, na wakubwa wetu mtuambie waliyojiri pia.
Mnakumbuka enzi za kujificha kwenye madarasa ya steer-band, halafu maafande wakija ni kukimbizana nao,na wakitukamata kwato lake si mchezo.
tunakumbuka jiteute kwa michezo jamani??mpira wa kikapu tulikuwa juu...
karibuni tujikumbushe.
ni kweli wakunyuti, mi alikuwa best yangu kinoma mungu amlaze pema. Lakini unajua wale maafande walikuwa wahuni sana kwa kuwatokea mabinti mmmhh hatari! binti akitokewa na akakubali hata smart area hakimbii. ila jamani pale ilikuwa mtu usichelewe zaidi ya saa mbili la sivyo utakula vichura mpaka saa nneKuna afande mmoja alikua anaitwa Kiimbi...mfupi ivi jamaa alikua akikukimbiza akukosi....akikukamata ni kichura chura mpaka displine office kwa mzee bwenge..apo ndio utajuuuta kuifahamu Jitegemee..maana utakula stick za dabo dabo kwanza kama ukaribisho kabla haujapewa dozi kamili....ila jamaa naskia alikuja kuvuta... RIP afande Kiimbi.
yupi huyo? alikuwa wa O-level au A-level?kuna mwalimu mmoja alikuwa ana mazalla,daah huyu jamaa alikuwa noma
Vipi afande msingida,ntibwela,mr. richard,wajadi bado wapo hawa watu?
afande ntibwela alishafariki
Cant believe you aint here,we miss you big time,Wanafunzi wa jitegemee mnasambaza ukimwi mjini.......yule mwalimu Bonabucha kawafagia vitoto vya shule na nyie mnamega...navyo vinamegwa mtaani nanyi mnamega mtaani mwisho mnaleta virusi mpaka shule za kishua kama ST marys na IST......komeni
afande ntibwela alishafariki
afende bruno!! Mkisi!! Wapo?
Mr bucha and mrs lymo died