Mwakapesa II
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 554
- 915
kwa wale walio soma Kiluvya secondary tukutane hapa ili kujuzana yale yaliyo wahi kutokea enzi upo Kiluvya secondary na ni kitu gani ambacho unakikumbuka kutoka KVSS na mwaka ambao ulisoma hapo ili kufahamiana zaidi.