wale wa KIU ( kampala international University ) majina yanatoka lini ?

wale wa KIU ( kampala international University ) majina yanatoka lini ?

king Chuga

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
510
Reaction score
52
Chuo kikuu cha kimataifa cha kampala tawi la Dar es Salaam kinatoa lini majina ya waliochaguliwa kujiunga mwaka wa masomo 2013 /2014
 
Ebu confirm to me
Joyce mzava!
Lab technology!
 
Ebu confirm to me
Joyce mzava!
Lab technology!

haya jaman wanakiu wenzangu tupeane habari kuhusu jinsi ya kupata joining instruction form ili tujue total cost ya mwaka mzma na kias kinachotakiwa kwa ajili ya kuanzia cimnavyofaham wengine mpaka tuuze ng'ombe ndo tuje xul...mi npo pharmacy jaman
 
Back
Top Bottom