king Chuga JF-Expert Member Joined Dec 21, 2012 Posts 510 Reaction score 52 Sep 4, 2013 #1 Chuo kikuu cha kimataifa cha kampala tawi la Dar es Salaam kinatoa lini majina ya waliochaguliwa kujiunga mwaka wa masomo 2013 /2014
Chuo kikuu cha kimataifa cha kampala tawi la Dar es Salaam kinatoa lini majina ya waliochaguliwa kujiunga mwaka wa masomo 2013 /2014
ERICK MWABENA Member Joined Sep 2, 2013 Posts 16 Reaction score 5 Sep 5, 2013 #2 majina yako kwny web ya chuo Kampala International University - Dar es Salaam College
Chiefmweusi Member Joined Sep 21, 2012 Posts 87 Reaction score 9 Sep 5, 2013 #3 wamesha toa kama unashndwa kuona 2pia jina lakpo hapa nikusaidie
Tangopori JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 1,628 Reaction score 1,285 Sep 5, 2013 #4 Ebu confirm to me Joyce mzava! Lab technology!
B Baba Genovivah JF-Expert Member Joined Sep 1, 2013 Posts 756 Reaction score 249 Sep 7, 2013 #5 Tangopori said: Ebu confirm to me Joyce mzava! Lab technology! Click to expand... haya jaman wanakiu wenzangu tupeane habari kuhusu jinsi ya kupata joining instruction form ili tujue total cost ya mwaka mzma na kias kinachotakiwa kwa ajili ya kuanzia cimnavyofaham wengine mpaka tuuze ng'ombe ndo tuje xul...mi npo pharmacy jaman
Tangopori said: Ebu confirm to me Joyce mzava! Lab technology! Click to expand... haya jaman wanakiu wenzangu tupeane habari kuhusu jinsi ya kupata joining instruction form ili tujue total cost ya mwaka mzma na kias kinachotakiwa kwa ajili ya kuanzia cimnavyofaham wengine mpaka tuuze ng'ombe ndo tuje xul...mi npo pharmacy jaman