Mimi hapa.mkristo safi.Wale ambao mlibatizwa mkiwa wadogo, mlipata mafundisho ya dini, mlipokea sakrament zote za kanisa. Wengine mnakumbuka mbuzi wakichunjwa siku ya Kipaumara na watu walikuwa pilau na soda.
Mlimkataa shetani na mambo yake yote lakini
Kanisani hamuendi na wale wanaokwenda wengine hushiriki meza ya bwana baada ya kulala na mchepuko.
Kwenda kwa waganga na kutambikia mizimu.
Kutokusaidia wasio na uwezo tena wengine hukebehi wenye shida.
Nimecheka eti 'baada ya kulala na mchepuko'Wale ambao mlibatizwa mkiwa wadogo, mlipata mafundisho ya dini, mlipokea sakrament zote za kanisa. Wengine mnakumbuka mbuzi wakichunjwa siku ya Kipaimara na watu walikuwa pilau na soda.