Wale wa ku-appeal bodi ya mikopo

First1991

Member
Joined
Aug 26, 2014
Posts
89
Reaction score
11
Inavyosemekana ni kwamba kuappeal huwa ni mwezi wa 12 ukishasajiliwa na chuo. Ambapo bodi ya mikopo huwa inatoa nafasi kwa wanafunzi wanaotaka kuappeal.
Ninachojiuliza, je mwaka huu appeal itakuwepo? Hapo sijui au hatujui.
na ikitokea ikawepo italeta picha gan kwa serikali au bodi ya mikopo kuwaandikia watu kuwa bajeti imefika mwisho/kikomo. au baada ya watu kuaanza masomo ndo huwa wanatenga hela nyingine ili watu waappeal na kukusanya tena elfu tano tano(5,000) kwa kila mwabafunzi aliye appeal?( na hv mwaka huu ni wengi).
Ikitokea wametoa chance ya appeal bas kazi kwishaaaa. itaonyesha wazi ela ipo.
na kama ela hamna wale wa kuappeal tujiulize mara mbilimbili.... itawezekana kweli kuappeal.
TUTAFAKARI SASA.
 
Mimi ni second year kuappeal huwa ni mizinguo 2, cz wanaopata wachache xana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…