Wale wa kuchapia Tukutane Hapa!

No Escape

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2016
Posts
6,663
Reaction score
7,785
Kuna wakati Mtu unaweza kuchapia mbele ya kadamnasi mpaka ukajishtukia hasa ukizingatia watu wametega masikio wote wanakusikiliza wewe kisha likakutoka neno hata usijue kama limetoka mdomoni kwako...Hatari sana! tumeshudia mengi sana mda mwingine unaweza kujikuta unatukana bila kujua....Mwana J.f weka neno lako umewhi kuchapia.
Kuna siku niltaka kuhadithia kuhusu kile kipindi cha Futuhi,sasa sijui swaumu ilikuwa imebana nikajikuta natamka neno Futuhi ni FUTARI ,Mpaka leo kuna jamaa ananikera Akiniona ananiita Futuhi sijui nimfanyeje?
 
polee sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…