Wale wa loan verification majina yametoka angalieni hapa-heslb

MKINDE

Member
Joined
Aug 16, 2012
Posts
43
Reaction score
45
Habari zenu ndugu zangu wana JF. Nilikaa kimya sana mdodosaji ila naamini ya kwamba kimya kingi kina mshindo mkuu. Jana nilikuwa ndani ya ofisi ya HESLB kuendelea kudodosa kulikoni sisi wa loan verification na wengine majina yetu yaliyopelekwa kusiko stahiki. Majibu niliyopewa ni kwamba toka jana majina yote ya wale ambao walifika pale ofisini na ku-verify majina yao basi waondoe shaka kwani majina yao yameshafika vyuoni toka jumatatu hii. Hivyo basi kama ulifika ofisi ya HESLB na ku-verify jina lako ondoa shaka mambo yapo safi kabisa tembelea website ya chuo ulichochaguliwa au nenda moja kwa moja hadi chuoni utakuta mkopo wako. asanteni. mjumbe hafungwi.
 
vipi kuhusu wale wa category ya applicants with incomplete form,majina wameyatoa ?
 
wale wa incomplete forms kama ulishafuata utaratibu na kupeleka zile documents muhimu na ni mwaka wa kwanza uliyemaliza kuanzia 2010 kurudi nyuma mkopo kwa BATCH 1 unao ondoa shaka.
 
wale wa incomplete forms kama ulishafuata utaratibu na kupeleka zile documents muhimu na ni mwaka wa kwanza uliyemaliza kuanzia 2010 kurudi nyuma mkopo kwa BATCH 1 unao ondoa shaka.

sie tuliomaliza 2009 ndio imekula kwetu au?
 
Mkuunmeendaa chuon kwetu wamendambia kua bado majna hayajatumwa sa cjui hyo inakueje؟
 
jina langu cjaliona kokote na wala ckua kwenye orodha ya incomplete forms hebu wadau
nisaidien nifanye nini? maana coz yangu ni education
 
jina langu cjaliona kokote na wala ckua kwenye orodha ya incomplete forms hebu wadau
nisaidien nifanye nini? maana coz yangu ni education

fuatilia heslb wakuambie tatizo ni nini,pengine kuna fungu jingne litatoka hivi karibuni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…