Duu umenikumbusha mbali sana kipindi cha kina Shadrank Nsajigwa, jamaa alikua anapiga boli lakini si kivile sana, Kulikua na jamaa 1 anaitwa culture. Safari za ushirika na Tukuyu kwa ajili ya shopping, Ndizi sukari na mapalachichi. Dona kwa maharage ilikua poa sana.