Ila mikoani wadada kusema kweli mnatisha kwa jinsi mnavyojipodoa , mikoani ni mimi na wasiojipodoa unawakuta wapo natural na rangi zao za bilingani.
ILa wanaojipodoa wanaharibu kila kitu hujui ni mtu au ni shetani.
kuna mdada alinijia na Yale mapoda mekundu Kama wanayopakaga wacheza nguo tukatoka out mpaka kwenye mashamba ya mpunga tukafika tukatulia kwenye nyasi fupi Kama tuko garden si unajua bush. Basi ma hag na ma kiss kwa sana. Nlikua nmevaa tishet nyeupe ilibadilika rangi in few minutes
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.