bugumiamandela
Member
- Aug 13, 2012
- 16
- 0
kwa aliye chaguliwa MUST kama anatatzo aulize hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
inamaanisha hampo eeeehhhh???
ni za kumwaga, asilimia kubwa tunakaa in-campus .
if you need more about must call at
0764 386 038
0659 663 312
kwa hiyo naweza nikakaa hostel miaka yote minne sio?
Kaka haujasikia dukuduku la kuhusu reporting day ya mwaka wa kwanza!
mkuu pale hata ukitaka kulalia vitanda viwili kwa mpigo wewe tu! (joke)
lakini ni kweli mkuu, nafasi zipo nyingi tu!
Kaka haujasikia dukuduku la kuhusu reporting day ya mwaka wa kwanza!
Duh sidhani kama ulipaswa kutumia neno dukuduku,jaribu kutumia fununu nadhani ndilo linalofit hapo mjumbe
Me mdogo wenu nimechaguliwa pale kupga diploma in civil engineering so 2takuwa pamoja
Kaka haujasikia dukuduku la kuhusu reporting day ya mwaka wa kwanza!
kwa aliye chaguliwa MUST kama anatatzo aulize hapa
karbu kijna tutakuwa wote
wakuu hta mm nko MUST,ila kna ukwel wwte kwa hli la kwmba hostel chmba kmoja knachkua watu 8??