Wale wa Milambo High School njoo hapa

Chabby yupo hapa jijini Dar anakula maisha, nitafute inbox nikupe namba zake@ Shekau
 
Ha ha ha ha......namkumbuka sana Njunwa alinipa adhabu ya kufagia barabara mwaka mzima. Hv Misana, Katondora Muchungu Sikazwe wapo? Mi nilimalizaga long time ago 2000....mwendo wa treni tu mpaka home

Njunwa na Katondolaa ni marehemu... wamefariki mwaka huu katikati hapo.... Sikazwe ni afisa elimu Geita
 

CDA ipo Ila imechoka
 
Wakongwe walosalia ni Zoma pekee.... Alienda fanya diploma TTC pale kabaki km Teacher was michezo tu....Hana darasa coz ni Advance only
 
Nimefurahi kusikia vijana mnaisifia na kuipenda shule yetu. Sasa naona mnajiita walambo... sawa site sasa tumestaafu ila bado naipenda shule yangu Milambo. Nilikuwa pale 1974-75. Mhe. Lowassa alikuwa pale kabla yangu 1972-73. Shule imetoa mawaziri, makatibu wakuu, na wanasheria wengi sana.. akina Palamagamba Kabudi n.k.
 
Wakuu, babu msengi yupo bado mpaka sasa anamake headline, nakmbka kna siku nlijisahau kuosha veso, mtata zoma alinipa bonge la potion pale uwanjan karb Na kalfonia, duuh nlivomaliza nkamtafta babu msengi akanipa ngema ya kutosha nkagonga kabla walambo hawajatoka class then nkaenda kujinyoosha pande za sokoine namba 4...!!!
 
walambo wamoja
Daah hii kauli haipo tena Milambo
zaina zaina mwaka huu watu 10 wamefukuzwa
shule ishakuwa seminary teacher Zoma ndo kiongozi wa nidhamu Ndio Aliyefukuza watu
headmaster mpya [HASHTAG]#BenWalter[/HASHTAG] Mtoto wa pugu formerly kaliua headmaster anaipaleka shule pabaya
carifonia, scout chamber, kwa hadija, mbwa mbali, wote wapo Mtoto wa Zoma nyama ya walambo kaolewa tayari but Ma brother mlikuwa moto mmetuachia Ma uncle chemchem tunalea wengine washkua tunatafuna carfonia
Zoma Zoma zoma katufukuza shule bwana Nipo newera sasa but. ulamboni Kama kawize Dwasi adosi
 
Dah, hii shule. Maisha yangu yote ya pale sikuwahi kufanya Terminal, test, wala Annual exam. Pepa ya kwanza kufanya ilikuwa mock, ya pili ni Necta itself.


Hahahahahaaah.
 
Dah nakumbuka enzi hizo ndio nimekuwakuwa npo primary school walambo wakaibiwa magori yao yafootball, dah uswahili chemchem palinuka walipita kila nyumba kukagua utafikiri wajeshi nakumbuka hilo tukio kuna mtu aliuwawa wakiwa katika harakat zakuyatafuta hayo magoli. Ilikuwa ikitokea disko vumbi uswahilin nilazima wajitokeze utadhani wamealikwa ila sasaivi milambo imepoa sana. Namkumbuka namwanafunz mmoja hivi alikuwaga bonge sana haijatokea tena mpaka leo milambo kuwa namwanafunz bonge kama yule cjui alikuwa anaitwa nan
 
Nimemaliza form four Mwaka 2005 lakini Mpaka leo bado sijaona Head master kama Majubwa Mzigua yule alikuwa kiboko siku akiamua kutukana assembly Mpaka walimu wa kike wanakimbia kulikuwa na Miss Chibunu kipindi kile vp yuko wapi huyu Mama vp ile system ya kubadilisha Majina walimu wa zamu bado ipo? Mfano Zoma anaandikwa Azom nk
 
nimemaliza enzi za majubwa ...nakumbuka aliwahi kumpa makonde ya hatari mwanafunzi mmoja alikuwa anaitwa Hamad kisa ilikuwa dent anakula kifaa cha "Jubwa" ilikuwa noma sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…