Mtaalam mimi nataka unishauri kitu moja, hizi pesa unapo pewa za stationary hua ni lazima ununue stationaries gani?? pia nawezaje jua kua nimepata % kadhaa mimi Loan Amount yangu ni Tsh.4,502,500/= na ada ni Tsh.1,500,000/=.
nakusubiri mtaalam mwenzangu