Wale wa moro tupeni bei za mashamba huko

marandu2010

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
1,201
Reaction score
446
Salamu zenu wakuu.

Mashamba ni mali inayopanda thamani siku zote,,hebu watu wa moro (mji kasoro bahari) tupeni information kuhusu bei ya ardhi huko,,ili wale wenye kitu kidogo watumie fursa hii kuimiliki nchi..na i weze kutumika kuliko kuwa idle..


Natanguliza shukurani zangu.
 
Bei mapatano.
Inategemea na rutuba, upatikanaji wa usafiri, uhitaji wa fedha wa mmiliki n.k
Karibu Moro ujionee.
 
Nilinunua kipande mitaa ya Kingorwila 2007 ilikuwa Laki 3 kwa ekari... ila ilishaanza kupanda.... wakikuona mjomba mjomba wanakubambika!!:eyeroll2:
 
asante sana wakuu kwa mchango wenu,,nakaribisha mawazo zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…