Jemsi Senior Member Joined Mar 22, 2012 Posts 149 Reaction score 19 Sep 18, 2012 #1 Ndugu zangu ambao majina yenu hayakufika chuoni,kama kuna aliyefuatilia hili suala naomba anipefeeback kama amepata taarifa yoyote kutoka chuoni,kwani mimi bado nipo njia panda..shukrani wakuu
Ndugu zangu ambao majina yenu hayakufika chuoni,kama kuna aliyefuatilia hili suala naomba anipefeeback kama amepata taarifa yoyote kutoka chuoni,kwani mimi bado nipo njia panda..shukrani wakuu