Wale wa mwembetogwa secondary school tukutane hapa

Mkuu umenikumbusha mbali Sana Na mwembetogwa
 
Marehem Gabakama ndo aliirekebisha Mtogwa, jamaa alikuwa mbabe mpaka bas, ndo kipindi ambacho Mtogwa ilianza kufanya vizuri A-level
 
Namkumbuka ticha mmoja alikuwa anaitwa Mdemu na madam mmoja anaitwa Ngwenga, walikuwa niwanoko uspime
 
Marehem Gabakama ndo aliirekebisha Mtogwa, jamaa alikuwa mbabe mpaka bas, ndo kipindi ambacho Mtogwa ilianza kufanya vizuri A-level

nasikia yule mzee jumba lilitiwa X ndo maana mwenyezi akalibomoa!!
Sasa na vile vident alivyokuwa anavitembelea!!
 
nasikia yule mzee jumba lilitiwa X ndo maana mwenyezi akalibomoa!!
Sasa na vile vident alivyokuwa anavitembelea!!

jumba lilitiwa X kivipi Mkuu, hapo sijakuelewa sentensi zote mbili.
 
Namkumbuka madam komba alikua mbea ka mtoto wa std2.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…