please..wewe mwanafunzi uliyechaguliwa LLB..Naomba uniambie kirefu cha hiyo course yako ya law unayokuja kuisoma!!! na kama ukishindwa ntakuwa na mashaka na matokeo yako ya form 6 pamoja na ujio wako hapa mzumbe coz ninavyoelewa mimi mtu ukienda kusomea kitu fulani lazima ujue maana yake!!