Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wale wa dip na ftc waliokosa vyuo wawahi kureset program zao na kufanya tena choice
Una juaje kama umekosa au kupata bro msaada
Una juaje kama umekosa au kupata bro msaada
log in ktk acount yako....shuka mpaka kwenye choosen programs....kma umechaguliwa utaambiwa...selected ktk program flan na kama hujachaguliwa utaambiwa note selected na watakuambia kwann hukuchaguliwa....pia watakuambia ureset na ufanye choice tena
Wait vusa subir ndo kwanzaaaa asubh mpk jion kitakuwa kimeeleweka wakuu
Wakuu mbona mm haibadilik chochote toka wameniambia dear ... Stay calm, until now bado iko hvo hvo
Mi mwenyewe duh mpka nahisi hapo cjui hatma yetu nini
wale wa dip na ftc waliokosa vyuo wawahi kureset program zao na kufanya tena choice
Habari zenu diploma holders wenzangu. Mie nilifuatilia NACTE kuhusu kwa nini am still checking in progress kwenye profile yangu na majibu niliyo yapata ni kama ifuatavyo.
1. Ili uchaguliwe bila mikwala yoyote inabidi uwe na vigezo kadhaa. moja pass 4 za olevel na diploma inayotambuliwa na NACTE au equivalent yenye gpa kuanzia 2.7. Achilia mbali kwenye course specific kama ifm ud vyuo vya afya na engineering vimeweka vigezo beyond minimum so swali likaja nilisoma guidebook kuangali requirement ya program? kama no then subiri favor za NACTE na vyuo pale vitakapo kuwa vinajaza nafasi ndio wale wasio kuwa na hivyo vigezo tajwa wataingia. au wakwambie sasa huna vigezo?
2. Wale ambao wametimiza kila kitu na wanauhakika na hilo mambo yetu yanashughulikiwa kwa sababu labda sikuchagua vyuo vinayotaka diploma yangu yaani niliingia chaka so kunauwezekano wa kupata nafasi lkn wanaendelea kuconfirm na vyuo huasika vinikubali.
3. wale walio eligible wameoneshwa na kupewa option ya kichagua vingine na majibu lini ni kila ikifika saa sita usiku watakuwa wanatoa kwa wote waliochange siku hiyo.
4. Kama diploma yako siyo inayotambulika na nacte kuna mlolongo mrefu wa kuitambulisha fikiri hata ud diploma zao ni magumashi hazijasajiliwa.
5. Wakasema kama mnaistist tunataka majibu yetu mtapewa kama yalivyo ina maana umekosa uko tayari kuyapokea au kuvuta subira siku mbili tatu upate hicho chuo
asanteni
Mi naomba niuulize swali hapo kidogo kama mimi naonekana nilichagua vyuo ambavyo diploma hawataki mfano kama ud na ardhi kwahyo it means bado wanaongea na hvyo vyuo au tutambiwa option nyingine