Wale wa nacte

Wale wa nacte

usuf

New Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
2
Reaction score
0
yaani wale wa nacte hatujui kama tumekua selected or not,hata raund ya tatu hawajatoa majina .hii vip?wadau wa nacte.
 
Kua na subira, kama watatoa round ya tatu , watatangaza. Una pressure ya nini? Huku ma vyuo yenyewe hadi october...
 
inawezekana wamemaliza mahitaji yao manake kama uliangalia wale ambao hawakuwa selected first round inaonekana walikosa wengi wenye diploma za mambo ya medical,then system ya nacte toka mwanzo ilikuwa inakurestrict mtu kuomba chuo na coz ambayo ni unlikely kupata na pia vyuo vingine waliwapa nacte nafasi chache for diploma holders kiasi kuwa ni rahisi kujazwa mapema tu
 
Punguza pressure ndugu,mambo bado kabisa hata hayajakuwa rasmi unaanza kudata,wa nacte kama umeingia kwenye profile yako si majibu tayari unayo?subiri wakuchague kozi watakayokupa kati ya ulizoomba,Vyuo bado vingi mf.MUST,DIT nk havijatangaza sasa haraka ya nini,kuna walioomba ST .JOSEPH mbona wamepata,mambo tartiiibu hayataki haraka
 
Back
Top Bottom