Punguza pressure ndugu,mambo bado kabisa hata hayajakuwa rasmi unaanza kudata,wa nacte kama umeingia kwenye profile yako si majibu tayari unayo?subiri wakuchague kozi watakayokupa kati ya ulizoomba,Vyuo bado vingi mf.MUST,DIT nk havijatangaza sasa haraka ya nini,kuna walioomba ST .JOSEPH mbona wamepata,mambo tartiiibu hayataki haraka