Wale Wa NIT Join Instruction Zimetoka!

Wale Wa NIT Join Instruction Zimetoka!

Nimeona mkuu sema wabongo walinizingua eti wana2ma kwa posta
 
mbn nimeingia kwny website sizioni jamani???unafungua jwny link ipi ukiingia kwny website???
 
ham ha kweli wamesema hvyo, ila pia wametoa option unawezaenda kuchukua chuoni kuanzia sept 10.
 
washkaj mi pia nimechaguliwa n.i.t....logistix and trnspt mngnt...nimepata geto kitaa karib na chuo km kuna aliyetayari tukae wote tushee garama za kodi....NB-asiwe mlokole kupitiliza maana tutashndwana.....0685645615 na 0717382652 ndo namba zangu...
 
kwa yeyote aliye elewa kuhusu jinsi ya kupost medicai,acceptance na declaration form au ni mpaka chuoni???
 
hawa jama wa NIT form zao majanga tu!! ada cjui tunalipia hata sh ngapi?
 
washkaj mi pia nimechaguliwa n.i.t....logistix and trnspt mngnt...nimepata geto kitaa karib na chuo km kuna aliyetayari tukae wote tushee garama za kodi....NB-asiwe mlokole kupitiliza maana tutashndwana.....0685645615 na 0717382652 ndo namba zangu...

ucjal boy
 
Back
Top Bottom