KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Kwa wasioelewa maana ya no fap ni kukaa kwa muda fulani ambao wewe utajipangia bila kufanya tendo la ndoa ama namna yoyote ile yakukufanya utoe mbegu!.
Sasa humu jukwaani watu walianzisha uzi wa no fap na wakaanza kuhesabiana!, ulianza kwa spidi lkn cha ajabu watu wamejilamba naona!, zoezi limeingia dosari wenye kujibinya wamejibinya na wenye kujidofya wamejidofya!.
Sio mwenye uzi ama waalikwa wote wamekimbia!, Hakuna tena anaetaka kutunza vimbegu vyake!, wamejilamba vizazi..
Wengine wakadanganyana ati ukikaa muda mrefu unajitakatisha, nakuondoa mikosi nakuvuta hela!, jiangalieni mtaivuta jela ule mchezo ni wa hatari unaweza ukabaka hata mbu!.
Wakuu acheni michezo ya ajabu!.