Wale wa non priority poleni sana.

mboni unatoa lugha kali sana au unstress ndugu siku ya leo..

Hapana rafiki, avatar ilikuwa ya uchi wa mwanamke! Just imagine , avatar kama hiyo ya nini! Kama huwezi kuchira hiyo kitu mbele ya watoto wako, why post it on this forum! Sina stress maana mimi sio mwanafunzi wa mikopo! Anyway, kama nimekuudhi nisamehe!
 
jamani Perry na Ipycalypse hili ni jukwa la wasomi...jitahidini sana kuzuia hisia zenu!!! a wise man is always controlled by his intelect and not his feelings....kuwen makin tusije waweka kwenye magroup ya watu wavivu wa kufikiria......

Nadhani wote mmeona nani kapigwa Ban h ha aha aha aha aha a
 
Ada za vyuo siku hizi ni mtaji kabisa wa duka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…