Wale wa Number E kitu tayari kipo mjini

Wale wa Number E kitu tayari kipo mjini

Ivan Breaker

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2020
Posts
1,379
Reaction score
5,499
Wale wenzangu na mimi tuliokuwa tukisubiri kwa hamu hatimaye muda umefika sasa [emoji4]

IMG_20220804_110049.jpg
 
Aya sasa mnunue mandinga wazee na mkihitaji spare parts msisite kuniona.
 
Kijana una mihemko.. hiyo number toka mwaka juzi unapost leo.. kwamba ni namba. Unasema au unatania. Yaani uko serious?
 
Number E Imetuchelewesha Sana Maendeleo
 
Mmmmh ikitoka E inafata ipi??...[emoji849][emoji849][emoji849] naisubir
1659286046023.jpg
 
Back
Top Bottom