donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
donlucchese,umekuwa mwokozi wa ng'ambo coz nimeitafuta sana hii ngoma,ubarikiwe sana
Hilo nalo ni bonge la go ma nmelitafuta sana lkn mpaka leo sijapataKuna ngoma ya mshkaji inaitwa 'nafanya nini' nadhani, yuko na Blue. Ndio ya mwisho kuiskia kutoka kwake, kama unayo ipandishe tafadhali
Kuna ngoma ya mshkaji inaitwa 'nafanya nini' nadhani, yuko na Blue. Ndio ya mwisho kuiskia kutoka kwake, kama unayo ipandishe tafadhali
Yup! Inaitwa niskilize. Thanx brotherHiyo ngoma inaitwa NISIKILIZE PIG BLACK FT BLUE INGIA YOU TUBE NOW ANDIKA HIVO THEN UTAISIKILIZA RIGHT NOW
Hilo nalo ni bonge la go ma nmelitafuta sana lkn mpaka leo sijapata
Hilo nalo ni bonge la go ma nmelitafuta sana lkn mpaka leo sijapata
Nini mnataka mazee, ni among hit ninayoikumbuka sana kipindi kile cha kuharibu tape za washua unarecord bongo fleva halafu mzee akija gundua anakupa kipondo balaa lakini still unaendelea kurecord tu.
Leo ndio nimegunduwa hili jukwaa limejaa watoto, yani Pig black naye anaitwa mtu wa oldies!? my foot.....
Hawa wato wa free dogs camp, Pig black, Ommy G na Nalenale mimi nawaona ni watoto wa juzi tu sasa kuwaweka kwenye old school sijui kama unajuwa maana yake.